Isaiah 58:14

14 andipo utakapojipatia furaha yako katika Bwana,
nami nitakufanya upande juu ya miinuko ya nchi
na kusherehekea urithi wa Yakobo baba yako.”
Kinywa cha Bwana kimenena haya.
Copyright information for SwhNEN